Paulo Mtume hakuionea haya Injili ya Kristo. Alitamka juu ya Injili. Hata hivyo, moja ya sababu ambayo watu wengi hulia ingawa wanamwamini Yesu ni kwa sababu ya dhambi. Pia ni kutokana na upumbavu wao katika kushindwa kuikubali haki ya Mungu. Tutaweza kuokolewa kwa kuamini haki ya Mungu na kuachana na haki zetu binafsi.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Katika Warumi 4:6-8 Paulo anazungumzia juu ya watu walio barikiwa mbele ya Mungu. Mtu aliye barikiwa kwa hakika mbele ya Mungu ni yule ambaye...
Tunamwita Yohana, aliyembatiza Yesu, Yohana Mbatizaji. Sasa, nini maana ya ubatizo? “Ubatizo” kwa Kiyunani “babtizo” maana yake “kuzamisha” na maana kuu iliyo muhimu ya...
“Tohara ni ya moyo.” Tunaokolewa pale tunapo amini kwa moyo. Yatupasa kuokolewa moyoni. Mungu anasema “tohara ni ya moyo katika roho si katika andiko...