Katika Warumi 4:6-8 Paulo anazungumzia juu ya watu walio barikiwa mbele ya Mungu. Mtu aliye barikiwa kwa hakika mbele ya Mungu ni yule ambaye matendo yake ya uovu yamesamehewa na dhambi zake kusitiriwa. Hivyo Paulo anatamka “Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi” (Warumi 4:8).
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Nampa Bwana shukrani kwa kuokoa nafsi nyingi nyakati hizi. Biblia inazungumiza juu watu walio na heri katika Warumi sura ya 4, hivyo ningependa kuzungumiza...
Katika ulimwengu huu yapo makundi mawili, Wayahudi na Wakristo wamwaminio Mungu na kati ya watu hawa wapo wale wenye kumwamini Yesu na wale wasio...
Tunaweza kuona kwamba Paulo Mtume alihubiri Injili ile ile ambayo nasi leo tunaihubiri. Je, ni kwa nini ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa? Hukumu ya Mungu...