Nampa Bwana shukrani kwa kuokoa nafsi nyingi nyakati hizi. Biblia inazungumiza juu watu walio na heri katika Warumi sura ya 4, hivyo ningependa kuzungumiza juu ya wale walio na heri pia.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Hebu tuzungumzie juu ya sheria. Paulo Mtumie aliwaambia Wayahudi walio ifuata sheria “kwa hiyo wewe mtu uwaye yote uhukumuye, huna udhuru, kwa maana katika...
Paulo alitamka kwa imani katika sura hii kwamba wale wote wenye kuamini haki ya Mungu “ndiyo walio na amami na Mungu” sababu ya hili...
Je, unaifahamu na kuiamini siri ya ubatizo wa Yesu alio upokea toka kwa Yohana? Ningependa kukueleza juu ya siri hiyo kupitia Warumi 6:1-4 “Tuseme...