Paulo alitamka kwa imani katika sura hii kwamba wale wote wenye kuamini haki ya Mungu “ndiyo walio na amami na Mungu” sababu ya hili ni kwamba Baba Mungu alimfanya Kristo abatizwe kwa ajili yetu na hata kumfanya pia amwage damu yake msalabani.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Katika Warumi 4:6-8 Paulo anazungumzia juu ya watu walio barikiwa mbele ya Mungu. Mtu aliye barikiwa kwa hakika mbele ya Mungu ni yule ambaye...
“Waraka wa Paulo Mtume kwa Warumi” unaweza kuchuliwa kuwa ni hazina ya Biblia. Inahusika zaidi na namna ya mtu awezavyo kupata haki ya Mungu...
Mtume Paulo anasema kwamba kukamilishwa kwa sheria na ukombozi wa rehema ya Mungu havikuletwa kwetu kwa njia ya matendo yetu bali kwa imani. Tuliokolewa...