“Tohara ni ya moyo.” Tunaokolewa pale tunapo amini kwa moyo. Yatupasa kuokolewa moyoni. Mungu anasema “tohara ni ya moyo katika roho si katika andiko ambayo sifa yake haitoki kwa wanadamu bali kwa Mungu” (Warumi 2:29). Yatupasa kuwa na ondoleo la dhambi. Ikiwa hatutokuwa nalo mioyoni mwetu basi ni bure tu. Mwanadamu ana “utu wa ndani” “na utu wa nje” na kila mtu inamlazimu kupokea ondoleo la dhambi ndani ya utu wake.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Katika ulimwengu huu yapo makundi mawili, Wayahudi na Wakristo wamwaminio Mungu na kati ya watu hawa wapo wale wenye kumwamini Yesu na wale wasio...
Imeandikwa “Mwenye haki ataishi kwa imani” Je, tunaishi kwa imani au la? Njia pekee ya mwenye haki kuishi ni kwa imani. Imani ndiyo imwezeshayo...
Leo, napenda kuzungumzia juu ya asili ya dhambi. Je, unawaza moyoni huku ukisema, “Ah, huyu naye, kila siku anazungumzia mambo yale yale. Hebu nieleze...