Akindelea kutoka sura ya 2, Mtume Paulo alitaja katika sura hii kwamba Wayahudi hawana upendeleo zaidi ya watu wa Mataifa. Katika sura hii, Paulo alilinganisha sheria na ile kanuni ya haki ya Mungu kabla ya kuzungumzia sheria ya haki ya Mungu inayo mruhusu mwenye dhambi kupokea haki yake na hatimaye uzima wa kweli. Pia alifafanua katika sura hiyo juu ya wokovu toka dhambini kuwa si kupitia matendo yetu bali kupitia imani katika haki ya Mungu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
“Waraka wa Paulo Mtume kwa Warumi” unaweza kuchuliwa kuwa ni hazina ya Biblia. Inahusika zaidi na namna ya mtu awezavyo kupata haki ya Mungu...
Paulo alitamka kwa imani katika sura hii kwamba wale wote wenye kuamini haki ya Mungu “ndiyo walio na amami na Mungu” sababu ya hili...
Leo, napenda kuzungumzia juu ya asili ya dhambi. Je, unawaza moyoni huku ukisema, “Ah, huyu naye, kila siku anazungumzia mambo yale yale. Hebu nieleze...