Latest Episodes
1

SURA YA 1-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1
“Waraka wa Paulo Mtume kwa Warumi” unaweza kuchuliwa kuwa ni hazina ya Biblia. Inahusika zaidi na namna ya mtu awezavyo kupata haki ya Mungu...
2

SURA YA 1-2. Haki ya Mungu iliyo dhihirishwa katika Injili (Warumi 1:16-17)
Paulo Mtume hakuionea haya Injili ya Kristo. Alitamka juu ya Injili. Hata hivyo, moja ya sababu ambayo watu wengi hulia ingawa wanamwamini Yesu ni...
3

SURA YA 1-3. Mwenye haki ataishi kwa Imani (Warumi 1:17)
Je, wenye haki huishi kwa namna ipi? Kwa imani. Wenye haki huishi kwa imani. Ukweli ni kwamba neno “Imani” ni la kawaida, lakini ni...
4

SURA YA 1-4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18)
Imeandikwa “Mwenye haki ataishi kwa imani” Je, tunaishi kwa imani au la? Njia pekee ya mwenye haki kuishi ni kwa imani. Imani ndiyo imwezeshayo...
5

SURA YA 1-5. Waipingao kweli kwa uovu (Warumi 1:18-25)
Tunaweza kuona kwamba Paulo Mtume alihubiri Injili ile ile ambayo nasi leo tunaihubiri. Je, ni kwa nini ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa? Hukumu ya Mungu...
6

SURA YA 2-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 2
Katika ulimwengu huu yapo makundi mawili, Wayahudi na Wakristo wamwaminio Mungu na kati ya watu hawa wapo wale wenye kumwamini Yesu na wale wasio...