Latest Episodes
13

SURA YA 4-2. Wale wapokeao Baraka za Mbinguni kwa Imani (Warumi 4:1-8)
Nampa Bwana shukrani kwa kuokoa nafsi nyingi nyakati hizi. Biblia inazungumiza juu watu walio na heri katika Warumi sura ya 4, hivyo ningependa kuzungumiza...
14

SURA YA 5-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 5
Paulo alitamka kwa imani katika sura hii kwamba wale wote wenye kuamini haki ya Mungu “ndiyo walio na amami na Mungu” sababu ya hili...
15

SURA YA 5-2. Kwa njia ya Mtu Mmoja (Warumi 5:14)
Leo, napenda kuzungumzia juu ya asili ya dhambi. Je, unawaza moyoni huku ukisema, “Ah, huyu naye, kila siku anazungumzia mambo yale yale. Hebu nieleze...
16

SURA YA 6-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 6
Je, unaifahamu na kuiamini siri ya ubatizo wa Yesu alio upokea toka kwa Yohana? Ningependa kukueleza juu ya siri hiyo kupitia Warumi 6:1-4 “Tuseme...
17

SURA YA 6-2. Maana halisi ya ubatizo wa Yesu (Warumi 6:1-8)
Tunamwita Yohana, aliyembatiza Yesu, Yohana Mbatizaji. Sasa, nini maana ya ubatizo? “Ubatizo” kwa Kiyunani “babtizo” maana yake “kuzamisha” na maana kuu iliyo muhimu ya...
18

SURA YA 6-3. Vitoeni viungo vyenu kuwa silaha za haki (Warumi 6:12-19)
Mtume Paulo anatuambia namna ya mwenye haki impasavyo kuishi baada ya kuokolewa toka dhambini katika Warumi sura ya 6. Ameainisha “Imani” pamoja tena na...