Latest Episodes
7

SURA YA 2-2. Wale wenye kuidharau Neema ya Mungu (Warumi 2:1-16)
Hebu tuzungumzie juu ya sheria. Paulo Mtumie aliwaambia Wayahudi walio ifuata sheria “kwa hiyo wewe mtu uwaye yote uhukumuye, huna udhuru, kwa maana katika...
8

SURA YA 2-3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29)
“Tohara ni ya moyo.” Tunaokolewa pale tunapo amini kwa moyo. Yatupasa kuokolewa moyoni. Mungu anasema “tohara ni ya moyo katika roho si katika andiko...
9

SURA YA 3-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 3
Akindelea kutoka sura ya 2, Mtume Paulo alitaja katika sura hii kwamba Wayahudi hawana upendeleo zaidi ya watu wa Mataifa. Katika sura hii, Paulo...
10

SURA YA 3-2. Wokovu toka dhambini ni kwa njia ya imani tu! (Warumi 3:1-31)
Mtume Paulo anasema kwamba kukamilishwa kwa sheria na ukombozi wa rehema ya Mungu havikuletwa kwetu kwa njia ya matendo yetu bali kwa imani. Tuliokolewa...
11

SURA YA 3-3. Je, unamshukuru Mungu kwa ajili ya Bwana? (Warumi 3:10-31)
Warumi 3:10-12 inatamka “Kakuna mwenye haki hata mmoja. Hakuna afahamuye, hakuna amtafutaye Mungu. Wote wamepotoka, wameoza wote pia, hakuna mtenda mema la! hata mmoja.”...
12

SURA YA 4-1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 4
Katika Warumi 4:6-8 Paulo anazungumzia juu ya watu walio barikiwa mbele ya Mungu. Mtu aliye barikiwa kwa hakika mbele ya Mungu ni yule ambaye...