Tunamwita Yohana, aliyembatiza Yesu, Yohana Mbatizaji. Sasa, nini maana ya ubatizo? “Ubatizo” kwa Kiyunani “babtizo” maana yake “kuzamisha” na maana kuu iliyo muhimu ya ubatizo ni “kubeba dhambi na kifo”.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Je, wenye haki huishi kwa namna ipi? Kwa imani. Wenye haki huishi kwa imani. Ukweli ni kwamba neno “Imani” ni la kawaida, lakini ni...
Leo, napenda kuzungumzia juu ya asili ya dhambi. Je, unawaza moyoni huku ukisema, “Ah, huyu naye, kila siku anazungumzia mambo yale yale. Hebu nieleze...
Paulo alitamka kwa imani katika sura hii kwamba wale wote wenye kuamini haki ya Mungu “ndiyo walio na amami na Mungu” sababu ya hili...